Music Downloads & Lyrics
Touch music
siwezi kujibu nitanyamaza
ili Mungu anitetee nitatulia tu
nitanyamaza
mungu ndiye msamaji wangu nitanyamaza
ili Mungu anitetee nitanyamaza
nitanyamaza
Oh nitatulia tuli. Nitanyamaza
ili Mungu anitetee. Nitanyamaza
nitanyamaza.
Oh nimechagua
kunyamaza. Nimechagua kutulia.
Kweli ya maisha yangu anayeijua ni
Mungu. Siwezi kujieleza kwa
wanadamu. Huyu anasema lile na yule
anasema lile. Nitajibu lipi niache
lipi? Maneno yanachoma, maneno
yanaumiza. Lakini nimechagua
kunyamaza. Wanatoa mashtaka.
wenyewe wanajibu mashitaka
wenyewe wanakuwa mashahidi
wenyewe wanatoa hukumu
wenyewe nimechagua
kunyamaza, nimechagua
kutulia siwezi kujibu,
nitanyamaza ili Mungu anitete
nitatulia tu nitanyamaza
Mungu ndiye msamaji wangu nitanyamaza
ili Mungu anitetee nitanyamaza
nitanyamaza
nitatulia tul nitanyamaza
ili Mungu anitetee nitanyamaza
nitanyamaza
Oh
nanyi
mtanyamaza
hatawapigania asema Bwana
Bwana atanipigania
Bwana katikati ya maneno
yao. Nisijajibu
nikakosea. Mungu ndiye anajua
kujibu. Kujeleza
kujieleza. Mungu ndiye
atakayenielezea vile nilivyo
anajua. Maisha yangu
anajua ukweli wangu
anaujua siri zangu za moyo anazijua.
Nimechagua
kunyamaza, nimechagua
kutulia siwezi kujibu. Nitanyamaza
ili Mungu anitetee. Nitatulia tu.
Nitanyamaza
Mungu ndiye msemaji wako. Nitanyamaza
ili Mungu anitetee. Nitanyamaza.
Nitanyamaza.
nitatulia tuli
nitanyamaza ili Mungu anitetee
nitanyamaza
nitanyamaza
nitanyamaza ili Mungu
anitete
nitanyamaza studio
Nimechagua song by Aniset Butati - lyrics, mp3 download, official video, audio, free music, remix, hit, new release, popular. Find full lyrics and download the mp3 easily.
Nimechagua kutoka kwa Aniset Butati - maneno, mp3 download, video rasmi, sauti, muziki bure, remix, nyimbo maarufu, mpya, maarufu. Pata maneno kamili na pakua mp3 kwa urahisi.