Music Downloads & Lyrics
Leo imeshakuwa jioni na matokeo
tuliyotegemea kuwa mbioni hata dalili
zake hatuzioni. Hivi vitu vinavunja
imani, vinaleta simanzi. Ila sisi ni
simba wenye njaa kali bila windo
hatulali. Tunaclaim watoto nao
hatukimbii mimba tunatunza pesa maana
haivutii shida tunajua shida zina mipaka
ni kama mvua kali na jua ni vipindi tu
vya mwaka tunajua kesho haitasimama
ikiwa tutaendelea kulalama na kulaumu
kuhusu jana tunajua kuwa nyumbani kuna
jambo ndio maana hatupigi bunda kwenda
ng'ambi wala hakuna hela ila we know we
will get
better polisi si wanatuona nuks sana but
hatupigi tungi kama jana japo bado tuko
maskani tunas tukithin cheda and we hope
that we give better give better wanajua
tumepoteza sa we ni profit walk around
with a broken heart broken pockets
hatuhitaji za kumwaga hela tunahitaji
kujua for sure that we get better we
need one heart we need one hope we need
one love we need one door so we know
kuna kesho tena and we hope That we get
better. Hope that we get better. Tuko
mbali na nyumbani, mbali na mizani.
Tunajua tumepinda sawasawa. Ndoto
zinaminywa kama chawa. Tunawindwa na
madawa. Matumaini bado we get better.
Hatupo special matokeo hofu. Nini? Kesho
kati leo mbovu. Hoja zetu zinapingwa
hazifikii. Kwao simama ninja. Siri ya
mabingwa ni hadithi
zao. Kunywa maji live marathon. kifo
naye ni mwana soka bana k hatuzungumziwi
na wazungumzaji tunapoishi giza kali
hata mungu haji hawatuweki next kwenye
talk show maana itadi hazimchi nao matop
dogwa na furaha ukiwa kwenye hali ngumu
ni kweli hakuna hali nadumu milele ah
kichwa kimeconcentrate msuba tangu mtoto
nina contemplate kufa hatufanani na sera
madhabauni na nyumbani kwetu ni jela na
makaburi bawi We get
better. We get
better. I know that we get
better. I'm sure we get
better. We get better.
e H
Gera Kera
H
H
Sw: Tämän laulun sanat ja mp3 lataus. Kuule ja lataa ilmaiseksi musiikkia, videoita ja ääntä. Hanki virallinen versio, remix ja suosituimmat kappaleet helposti.
En: Get lyrics, mp3 download, official video download, song, audio, free music. Listen and download your favorite song by Dizasta Vina featuring Beno Mwampamba. Find high-quality mp3s, videos, remixes, and more for free. Perfect for music lovers seeking top hits and exclusive content.