Music Downloads & Lyrics
Jea nimekuleta duniani bila idhini. Tega
sikio kwa makini
nikueleze kabla hujabwaga majanga chini
nataka ujue hii ngoma ndio uicheze
nikutoe utumwani hata uchague dini yako
mwenyewe mimi babako kwa hiyo naomba
unielewe hawezi kupata mwingine kama
usendeshwe na pembe zako maisha yako
yako mikononi mwako
mwenyewe. Naomba uijue hali yetu.
Umezaliwa na kuwa hapo safari ndefu sio
kipindi sio ndevu. Si vimbo ufumbue
macho kisho yatazame ya ulimwengu.
Tazama ulimwengu. Heshimu hili jina la
ukoo. Linda kama jinsi unavyolinda hii
roho. Palipo uzalendo kuna moyo na
uzalendo unaanza na kuwa lo royo. Tabia
ya upole ni shida kuhusanifu. Lakini
amani na hekima ndio majibu. Hasira
picha ya karibu inayokuziba usione mbali
kiasi usione tija kuinasibu. Sitakuwepo
kukupeleka kwenye toy store ucheze nazo
michezo kwenye coridor. Uwe mpuuzi
ushindwe cheza na books. Iwe nuks kiasi
uone revolution is not possible. Siahidi
kuwa baba mkamilifu. Napambana japo
miniganda la udhaifu. Amani haramu
usijiingize kwenye bifu. Kosea ujifunze
ili usiigize utakatifu.
Kuna dini kama mie mwanangu sijui ipi ni
njia
mwanangu uifuate ipi sina jibu.
Ningemfuata Mola nimuulize mbingu
ingekuwa karibu karibu duniani. Karibu
duniani. Ah karibu
duniani. Kuwa ujue tofauti ya halisi na
batili kwa kiki na kubashiri umaskini na
utajiri usafiri. uone tofauti ya usafi
na ukafiri kisha ujiulize kama utaasi au
tasawidi. Tupe uongo mwanangu chukua
tija. Funga mdomo mwanangu fungua kichwa
punguza mwendo. Wengi walijifia kwa
haraka kwa sababu kukaidi sheria na
mamlaka.
Ikumbuke hii siku umekuwa baba ulisikia
majukumu leo umeyajua sasa mwanaume
ulifichwa msosi tambua kwamba hawezi
kuheshimu kazi kama haujajua
shamba kabla hujanishusha mihadhi
kumbuka nimekufunza nimekufuta kamasi
nimekuvisha kufuli nimeahirisha shughuli
utazidi kiburi la hauwezi ukaivuka
tamati mwanangu hamna urafiki na simba
mwanangu hata akikufundisha kuwinda
mwanangu kuna siku atawinda Kisha windo
litamshinda utakosa nyama na utahitaji
kumlinda mwanangu usiwe mbivu mbichi
ngumu rahisi na nyepesi pige kitabu
auingie kijiji cha mapenzi mwanangu
ufuska utaua hadhi yako nimekupa vyote
ninavyovijua kazi kwako kweli kuhusu
hivyo vyama vya siasa chumba kimoja
usijedanganywa na vitasa zote gameu kama
drafti drafti usishangae kuziona kamati
zenye kamati pesa sabuni zitafute Kila
siku ukipata usikate watu. Mwenye fedha
ndio ana kisu. Ah usisadiki kila
tabasamu. Kati yao. Kuna halisi kuna
haramu. Dadisi upata
ufahamu. Karibu duniani. Karibu duniani.
Asili haijali usawa. Tambua hilo. Dunia
ngumu kuzaliwa tu ni kuwa hero.
Hakikisha kisoma kichezi mbali. So
chunga ngono chunga mikono ya serikali
kisha wacha kuvamia michakato kama
ambavyo ulikoma ziwa la mamako cha ndege
kiota cha mtu sumu ukiishi nacho bila
macho mwanangu utazikwa siku si zako. Eh
siwe mnyang'anyi tafuta fungu lako.
Ukidhurumiwa ujifunze kutokana na
uchungu wako maana utashushwa na utundu
wako. Poteza mali lakini usipoteze utu
wako. Pata shida umjue ndugu
thabiti. Kumjua ndugu si rahisi.
Usidanganywe na uchungu na dhiki. Pesa
ni nguvu lakini hekima ni nguvu zaidi.
Ah ngali na afya jiongezee ujuzi. Bati
ya jirani nayo usitembelee uchi.
usiegemee kuti kuwa na nidhamu alfu
fadhiri binadamu la usitegemee mchuzi
kuwa uone michongo inapofeli mchungu
muogo mua mokoza misheli propaganda na
zogo na choko choko na utapewa uongo ni
jifunze kuiheshimu kweli wewe mwafrika
hauko simple una nguvu ni vile ulibi
wawa history na
mzungu unachonena kinywani ni tija kuna
mstari mdogo kati ya mani na vitaenda
kuwa na lugha nadhifu maneno thabiti
yanaunda uaminifu acha masihara kaza
mwendo adoado fanya ndoto kwa malengo na
malengo kwa mipango godam a father
now yeah i can't believe that i'm a
father h nimeacha kushangaa shangaa so
unafanya kazi uku so you make your
father proud rafiki adhimu ni kazi
mheshimu kama unavyoheshimu wazazi
mheshimu jirani mbwa na binti yake binti
mlezi ukimharibu juu umeharibu kizazi
mwanangu usijechoka kungojea kamali ni
mbaya usijeomba kubobea wajanja ulipotea
ogopa pombe na madawa maana mwili mmoja
hauna spar karibu duniani karibu
duniani karibu duniani.
Dúbajate en la música de Dizasta Vina con la canción Karibu Duniani. Encuentra letras, descarga mp3 gratis, videos y audio de esta canción popular. Disfruta de la mejor música gratis y comparte con amigos.
Discover Dizasta Vina's song Karibu Duniani with lyrics, free mp3 download, video, and audio. Get the latest official remix, high-quality song, and free music downloads. Perfect for fans seeking official music videos and song audio. Enjoy the best free music experience online.