Music Downloads & Lyrics
bana
bana zote zima kimya mi ndio real deal
toki strip maniga wanga sipendi kuongea
top tau pima mi sifanani nao nje ndani
nawapiga kwangu paka makwao from the
shadow rice real king tokazi masafa ya
mbali nasomeka niite mkwezi kuhusu swag
si flow uliza za vyote hawaniwezi so
clean angle zimezingatiwa kinyamwezi
kuwa hapa ni haswa vita machozi jasho
damu wanaoko na wapole uzuri wote
nawafahamu nishapitia mengi manueli mi
sitishiki aliyenivusha mungu wengine mi
sikumbuki and to all om real niger stand
to niko fiti hakuna toka hapa nje mtiti
ndani mtiti ra mchezo simple na
anaifanya navyotaka navyo play smart
waweza sema mtaka bila mashaka na cha
moto wanakipata wachambuzi wa twitter
hizi nyakati za mashaka
bado hatujafika ila tuna
grow viatu vyangu kiviva unaweza usifike
go na bado mtaani watu watu watu
watu big boy busy aka rap general flow
so sick niger flow supernatural keeping
it catcher bonge la tozi la moyoni mini
buff
na mama yuko proud shining nikiwa kwenye
cloud solo ndio pigo zangu namve bila
tim muda wote buse i living my dream na
ngoma bado zitatoka hata mkisusa
kustream kama mbwa we mbwa tusirushane
steam bongo movie nimo utangazaji nimo
kuchana sana nimo mabiashara nimo mungu
asante sana ni protect mema family chuki
nje hawapendi navyo nawili cheke wa
makafiri ndumi la kuwili nimeshindikana
sana hata mbea walishatiri rap bado
yangu nisikizeni nyini wakuda mkipenda
mnite sevya na kitaongea ni muda barida
mtakuja nisujudu kama
budha si tumetoka bado hatujafika ila
tuna
grow vyatu vyangu kiviva unaweza usifike
wenda go na bado mtaani watu watu watu
watu watu watu
watu
bwana bana
B
Na Bado lyrics mp3 download video download song audio free music. Upptäck den officiella låten av Izzo Bizness X Billnass. Hämta gratis musik, lyssna på låten, och ladda ner MP3-versionen. Få tillgång till högkvalitativa ljudfiler och videor av denna populära låt.
Discover the official song of Izzo Bizness X Billnass. Download free music, listen to the song, and get the MP3 version. Enjoy high-quality audio and video downloads of this popular track for free.