Music Downloads & Lyrics
Kumbe Yesu mtu
akikujua amepata
uzima. Tena zaidi ya huo uzima unaweza
ukampa vyote. Kumbe Yesu mtu
akikujua amepata uzima.
Tena zaidi ya huo uzima unaweza ukampa
vyote kama Batimayo
yeye akampona upofu hakubaki tena tena
vile alipokuwa
mwanzo naye alikuwa eh akaongezewa miaka
hakubaki tena tena vile alivyokuwa
mwanzo wamtumainie huyo Yesu hawajawahi
kama walivyo
Ninajivunia huyu Yesu hajaniacha kama
nilivyo. Wamtumainie huyu Yesu
hawajawahi kama walivyo. Ninajivunia
huyo Yesu hajaniacha kama
nilivyo.
Nimegundua maisha hakuna bila huyu Yesu.
Bora nikose vingine lakini sio huyu
Yesu.
Nimegundua maisha hakuna bila huyu Yesu.
Bora nikose vingine na wala sio Yesu.
Kama Batimayo
akamponya upofu hakubaki tena tena. vile
alipokuwa mwanzo Ezekia naye bwana eh
akaongezewa miaka hakubaki tena tena
vile alivyokuwa mwanzo wamtumaini huyo
Yesu hawajawaibaki kama walivyo
ninajivunia huyu Yesu hajaniacha kama
nilivyo. Wamtumainie huyo Yesu
hawajawahi kama walivyo. Ninajivunia
huyo Yesu hajaniachi kama nilivyo.
Wamtumaini huyo Yesu hawajawahibaki kama
walivyo. Ninajibunia huyo Yesu
hajaniacha kama nilivyo. Wamtumainie
huyo Yesu. Hawajawahi kama walivyo.
Ninajumia huyo Yesu hajaniacha kama
nilivyo.
Išgyvenkite Joseph Marco Bukuru dainos tekstus ir MP3 parsisiuntimą su mūsų nemokama muzika platforma.
Atraskite aukštos kokybės vaizdo įrašus, garso įrašus ir dainų tekstus. Gaukite naujausius oficialius remiksus ir populiarias dainas. Mūsų svetainėje rasite visus reikalingus raktinius žodžius, kad lengvai rastumėte savo mėgstamą muziką – nemokamai parsisiųsti ir klausytis.
Discover Joseph Marco Bukuru lyrics, MP3 download, video, audio, free music, official remix, popular songs, high-quality downloads, and more. Listen to the latest hits and remixes for free. Our platform provides all essential keywords for easy music discovery—download and enjoy your favorite song anytime.