Warning: mkdir(): No space left on device in /home/indiax/lyricsmp3download.com/function.php on line 11

Warning: mkdir(): No space left on device in /home/indiax/lyricsmp3download.com/function.php on line 12

Warning: file_put_contents(/home/indiax/lyricsmp3download.com/file/log/visit_logs/2025-08-22/visit_counts/216.73.216.count): failed to open stream: No such file or directory in /home/indiax/lyricsmp3download.com/function.php on line 21

Warning: mkdir(): No space left on device in /home/indiax/lyricsmp3download.com/function.php on line 103

Warning: file_put_contents(/home/indiax/lyricsmp3download.com/file/log/visit_logs/2025-08-22/allowed.log): failed to open stream: No such file or directory in /home/indiax/lyricsmp3download.com/function.php on line 107

Warning: file_put_contents(/home/indiax/lyricsmp3download.com/file/log/visit_logs/2025-08-22/visit_counts/216.73.216.count): failed to open stream: No such file or directory in /home/indiax/lyricsmp3download.com/function.php on line 115
KESI YA LISSU INAWAKILISHA WENGI lyrics mp3 download video

🎧 Lyrics MP3 Download

Music Downloads & Lyrics

KESI YA LISSU INAWAKILISHA WENGI lyrics mp3 download video

MP3 Download Video Download Music Download

Lyrics

Jana nilisema na niliandika nikishauri
watawala na vyombo vyao kwamba watumie
hekima
waliyoayo, watumie ma'amuzi
waliyo waweke weke sikio chini
wasikilize milio na
mirindimo hekima
iwatembelee waondokane na jambo hili
kesi ya tundulis waifute
waiondoe
mahakamani. Nilisema jana nitasema na
leo na sitaacha.
ni ushauri wa bure lakini ushauri muhimu
sana. Na wakati nasema jana kuna
wanasheria watatu ambao walikuwa
wamezuiwa kuingia Tanzania wakawekwa
chini ya ulinzi na baadaye wakarudishwa
Kenya.
sikuwa nimejua kwamba kuna na wanasheria
wengine akiwemo jaji mkuu mstaafu wa
Kenya kwamba naye alikuwa anakuja na
baadaye taarifa tulizokuja kusikia
baadaye ni kwamba na yeye kumbe alizuiwa
akarulishwa
kwao. wachache
waliopenya tukaja kusikia baadaye kwamba
wamefuatwa mpaka hotelini usiku
wanawindwa kama vibaka wanavamiwa yaani
yaani vyombo vyetu vimejivalisha sura ya
kutisha hata wageni tena si wageni tu
holela wageni wenye hadhi ya kimataifa
wageni wenye anwani
zinazoeleweka nilisema jana mambo haya
hayatujengei sifa njema watanzania
Tanzania yawezekana ni uamuzi wa mtu
mmoja ameambukiza wengine au ni kikundi
cha watu kinaambukiza wengine lakini
madhara yake ni makubwa na ni mabaya
sana. Si kwao tu alikuwa taifa zima.
Hata sisi tusiohusika na mambo haya
tunazomewa tunalaaniwa.
huko Kenya sasa hivi watu
wanavyoisema serikali ya Tanzania, watu
wanavyomzungumzia Rais Samia Suluhu
Hassan, watu wanavyotuona Watanzania na
mifumo yetu ya
haki ni
aibu. Sasa kesi imeendelea leo na
imeahirishwa hadi siku 14
zijazo. Sioni mwelekeo
iliyoutarajia. Sioni kama hekima
imeshawatembelea. Ushauri wangu hebu
hekima hii
ninayoiomba ifanye kazi.
Madhara yanayotokana na uamuzi wa
mihemko, uamuzi wa
jazba. Kudhibiti maoni ya watu kwa nguvu
si kwa
hoja. Nguvu mnayotumia kumkabili
tunduliso inalingana na nguvu
atakayotoka nayo ndani baada ya jambo
hili kuisha. Na nguvu hiyo atakayotoka
nayo
ndani haitawafurahisha wanaomkamata.
wanaomgandamiza,
wanaomshtaki,
wanaomuumiza. Sio hao tu, yawezekana
nguvu hiyo ikaleta maafa ambayo yanaweza
kuumiza waliomo na
wasiokuwemo kwa sababu hasira za
Watanzania
zinaongezeka. Chuki katika jamii
inaongezeka.
Haki inapovunjwa kwa kiwango kikubwa
hivi hata amani inakimbia inatoweka.
Sasa mnapoishi katika mazingira ambayo
haki haipo na amani imefukuzwa kupita
popote popote dirishani kwenye tundu
kwenye paa popote mnabaki na nini pasipo
na amani kuna nini? Je hiyo ndio
Tanzania tunayoijenga? Hiyo ndio
Tanzania
tunayoitaka? Hii ndio namna ya
kukabiliana na ushindani wa hoja? Hii
ndio namna ya kumaliza nguvu ya mpinzani
wako.
Bado
hatujachelewa. Hayo ni maswali machache
tu. Hebu tusaidiane kufikiri na kuyajibu
bila jazba bali kwa
akili. Wapo wanaomtazama Lisu wakafikiri
ni
Lisu. Lisu si Lisu pale alipo. Lisu
anawakilisha wengi wanaopitishwa katika
tanoro la moto katika nchi yetu kwa
sababu ndogo ndogo na kubwa.
Lisu anawakilisha wengi
wanaoonewa, wanaoumizwa, wanaodhulumiwa,
wanaodanganywa, wanaotekwa, wanao
he

Description

Tazama KESI YA LISSU INAWAKILISHA WENGI lyrics mp3 download and video download. Pata nyimbo za bure, audio, remixes, official versions, and high-quality song downloads. Download now for the best free music experience, easy access to mp3 files, and lyrics.
Explore the latest in Tanzanian music with our comprehensive platform. Enjoy high-quality audio, video, and free music downloads of KESI YA LISSU INAWAKILISHA WENGI. Perfect for fans seeking official, remix, or live versions. Get your favorite songs now!

Latest Songs

Random Picks