Music Downloads & Lyrics
Mhm. Eh bwana kama ilivyo ada safari
ikaanza kukutana na mama manono
tukasalimiana. Niliplani sana huu mwezi
huu niweze kuwaona ndugu zangu wenye
uhitaji hasa kwa huku nyumbani ambako
nimewacha kipindi kirefu sana. Niko na
brother yangu anaitwa Baraka. Baraka
alikuwa ni brother yetu alikuwa yuko
poa. Alikuwa na miguu yake yote miwili.
Tulikuwa tukafanya kazi ukienda pale na
kupata hela ya shule na nini. Lakini
Baraka alipata matatizo alikatika miguu
yote. Nakumbuka alivyoumia mguu wa
kwanza ulivyokatwa alinipigia simu
tukawa tunasukumana na kusaidiana hivo
hivo lakini baadaye tena akanipigia simu
bwana mguu mwingine huu umekatwa. Kwa
hiyo nikaona nimefika nyumbani ni vyema
sana nikimtembelea Baraka. Nikashuka
mpaka njia ya kwao huko nikaenda kwa
rafiki yangu Baraka kumuona. sio rafiki
yangu by the way ni kakaangu kabisa
yaani ya kwa hiyo nilienda nikamuona
baraka nikamuona kweli Baraka amekatwa
miguu yote na juzi juzi tu nilishawahi
kumuonanga alikuwa na miguu yote baraka
lakini nikamwambia mwenyezi mungu
anakupa tatizo ambalo unalimudu kwa hiyo
mpaka mungu amekupa hili maanake
unaliweza nikakaa pale na baraka
tukapiga piga stori vizuri pale
akanielezea vitu vyake
changamoto maisha yanavyoendelea kwenda
enda ah vijana tupo mban na ukipata
nafasi ya kurudi nyumbani kusaidia ndugu
zako inasaidia sana kwa sababu tunawapa
tabasamu ambalo huenda hata hawakuwaza
kama wangeweza kulipata basi nilienda na
huia ya kwake aliniambia imekatika sana
inaoza kuna muda muda vinadondoka kwa
hiyo nipelekea wichia nyingine baraka
alifurahi mno yaani alifurahi kama
nimempa gari kwa hiyo kidogo chako
kinaweza kuwa kikubwa sana kwa mwingine.
Basi nilimkabidhi mshikaji wangu Baraka
Wich akaachia ile ya zamani akapanda
wichea yake mpya na alikuwa na furaha
sana mno mno mno which is ni kitu kidogo
lakini kwake kimekuwa ni kitu cha muhimu
na kikubwa sana. Yeah. Kwa hiyo
nilifurahi kumuona Baraka ya nilifurahi
kubadilishana mawazo na yeye na
nimemwaga naenda zangu town na nitakuwa
nikimkumbuka na kumfikiria na kumfanyia
vingi pia. Akampandisha mtoto wake pale
mwenyewe akamwambia tumepata kiti kipya
bwana. Kwa hiyo ilikuwa ni furaha sana
kwa baraka. Yaani unaweza ukaona kama ni
kitu kidogo lakini ilikuwa ni furaha
kubwa sana kwa baraka. Basi baada ya
hapo niliongea naye nikamwambia
inshallah nikipata pesa vizuri
nitakunulia kiti chamoti. nikaga naye
riziki kidogo pale kwa ajili ya mahitaji
madogo madogo japo tunakuwa
tunawasiliana kila siku mina baraka ya
nikamkumbuka mjomba wangu pale kidogo
cha
shule alifurahi sana nikawaaga ndugu
zangu wengine na nikawatakia wabaki
salama na inshallah naenda kupambana
nikirudi nitafanyia vingi vikubwa mno
mno mno
ya
Arudisha Kwa Jaamii by Kusah - lyrics, mp3 download, video download, song, audio, free music, official, remix
Kusah's Arudisha Kwa Jaamii lagu, mp3 download, video, lagu, audio, musik gratis, resmi, remix. Dapatkan lirik lengkap dan unduh lagu MP3-nya secara gratis. Nikmati video lagu asli dan audio berkualitas tinggi. Temukan juga remix dan versi resmi dari lagu ini.
Discover Kusah's Arudisha Kwa Jaamii with lyrics, mp3 download, video download, song, audio, free music, official, remix. Get the full lyrics and free MP3 downloads. Enjoy the high-quality music video and audio versions. Find remixes and official releases of this popular song.