Music Downloads & Lyrics
It's Hybrid on the beat
Ta ra ra ra it's the bad gang H O O D, Hood
Boyz
Zilishika nikajipata kwa wenyewe na manzi ya wenyewe shuka na mpoa
kumbe ni mali ya wenyewe nashangaa nini
ilinituma nikalewe, zilinishika
nikajipata kwa wenyewe, na manzi ya wenyewe, shuka na mpoa kumbe ni
mali ya wenyewe nashangaa nini ilinituma
nikale waah shida after shida shida toto pum pum
kanono hivi kiasi kameshiba tulipatana
jana disco wah after chupa mbili tatu tuko
kwake nampiga, hata mimi sielewi, kuna
shida imetokea utanionea ukianza
kunipiga, ju jana nililewa,
nikalewa, kuna msupa fulani akona figure
gai kumbe ako na mtu, kitu ntablame hapa pombe na kutu, sionji tena walahi sitasubutu, sai niko
na kesi hapa na bibi ya mtu eeeh,
zilinishika nikajipata kwa wenyewe
na manzi ya wenyewe shuka na mpoa
kumbe ni mali ya wenyewe, nashangaa nini
ilinituma nikalewe, zilinishika
nikajipata kwa wenyewe
na manzi ya wenyewe, shuka na mpoa
kumbe ni mali ya wenyewe, nashangaa
nini ilinituma nikalewe,
Cause da da da unanimur da da
kuna venye nabambika na hizo sianda nda
ushanikanganya kidogo umenichanganya, shu shuka na mpoa nitang'ang'ana ah,
nilipatana na shawry downtown,after this and that ni kejani five rounds, ana mahutete
akijiggle zina bounce,anahips and dips curvy bana and she's round wasuze
otyaaa,kumbe nakateka na nikaocha,omulunga buganda huko ndo ametoka
manzee huku joh far far furthest weh! zilishika nikajipata kwa wenyewe,
na manzi ya wenyewe, shuka na mpoa
kumbe ni mali ya wenyewe, nashangaa nini
ilinituma nikalewe, zilinishika
nikajipata kwa wenyewe
na manzi ya wenyewe, shuka na mpoa
kumbe ni mali ya wenyewe, nashangaa nini ilinituma
nikale we! amelewa ananidungia come home babe ati ongeza ya mia ni chang'a ama ni beer
namkaribia anaingizia namshika tena
anasema oh yes dear {wwewe} nampindua pindua up down
kitu iko Clean ready imestand up,
nampindua pindua up down kitu iko clean
ready imestand up bwanake amecome amecome na kwanza amejam weeeh!
bwanake amecome amecome na kwanza amejama weeh!
zilishika nikajipata kwa wenyewe
na manzi ya wenyewe, shuka na mpoa
kumbe ni mali ya wenyewe, nashangaa nini
ilinituma nikalewe, zilinishika
nikajipata kwa wenyewe
na manzi ya ya wenyewe, shuka na
mpoa kumbe ni mali ya wenyewe, nashangaa nini
ilinituma nikale we
kimeumana kimeumana tumepatikana tumepatikana
kimeumana kimeumana tumepatikana tumepatikana
Hybrid
Mali ya Wenyewe - Hood Boyz lyrics, mp3 download, official video. Kupata nyimbo za bure, audio, na video download kwa huyu wimbo maarufu. Pakua nyimbo, ujifunze maneno, nafurahia muziki wa kisasa na wa asili.
Discover Mali ya Wenyewe by Hood Boyz lyrics, mp3 download, and official video. Enjoy free music, song audio, and high-quality video download. Find top hits, remixes, and exclusive tracks to enhance your music collection and stay updated with trending music.