🎧 Lyrics MP3 Download

Music Downloads & Lyrics

Mapenzi ya mungu ni fumbo kubwa lyrics mp3 download official video song audio free music

MP3 Download Video Download Music Download

Lyrics

Wewe
ni alpha.
Haleluya. Omega. Haleluya. Omega. Hakuna
mwingine.
Omega. Omega.
Oh. Wewe ni wewe ni
alpha.
Yes. Omega. Haleluya. Omega. Haleluya.
Omega. Omega.
Tunakuhitaji
wei. Niko niko
niko ambaye niko
m
niko niko Mungu yasiyowezekana Bwana
wewe ni
wewe niko
niko ambaye
niko
niko
niko mh M
wewe ni Mungu wa majira na nyakati zote
na hali
zote unaweza yote Bwana upoko mahali
pote.
Omeka omeka
lolote ufanyalo ni
sawasawa mapenzi yako yote ni
sawasawa wala we haukosei
wewe ni maji kwa walio na kiu chakula
kwa wenye njaa uvuli kwa walio juani.
Nuru kwa walio gizani, faraja kwa wenye
huzuni.
Tufundishe kuyajua na kuyakubali mapenzi
yako hata kama endani na hisia zetu.
ijapotetemeka
milima, bali ijapochafuka Bwana
hatutaokopa chochote maana wewe pamoja
nasi umekaa
ni taifa gani lililokutegemea wakati
wowote
ukaniacha ni watu gani waliokutumaini
wewe wakati wote
ukawaibisha
hakuna no
Limebarikiwa taifa lalikutano wewe Bwana
maana nitakaa imara na salama kwa kuwa
wewe ni ngao yake Bwana Omega.
Oh wewe ni
wewe
ni
alpha
omega
omega
omega
omega wewe
ni
alpha
omega omega
Omega
Omega
Omega mapenzi ya Mungu ni fumbo
kubwa yanaweza leta furaha
pia yanaweza leta
huzuri. It's not about how we feel.
It's all about how God feel
so
the will of
mapenzi ya Mungu wakati mwingine si
lazima yaendane na hisia zetu. Wakati
mwingine anaweza akaja akaharibu mipango
yetu
tuliyopanga. Muulize Mariamu atakuambia.
Muulize Musa katika bibilia atakuambia.
Mapenzi ya Mungu yalimtoa Musa ikulu
yakampelekwa Jangwani Mediani huko akawa
mchunga kondoo. Musa akiwa machungani
akakutana na Mungu. Mimi niko ambaye
niko. Musa akavikwa heshima
zaidi. Mbele ya Farao. Musa alionekana
amepoteza
fursa kufukuzwa kwa Musa ikulu.
Alionekana amepoteza maisha mazuri na
hati kubwa. kufukuziwa jangwani kwa Musa
alionekana atakufa hatainuka tena. Farao
akatangaza jina la Musa lifutwe katika
historia yote ya Misri na sitaje
tena. Hakujua mahesabu ya Mungu kwamba
Mungu huwa hakosewi. Daima anajua
analofanya akili zake zipo juu sana.
Haleluya. Yule Musa waliyedhani
amepoteza akakutana na Mungu. Yule Musa
waliyedhani hatainuka tena ndiye akawa
juu
mno. Jina la Musa walilotangaza lifutwe
ndilo likawa habari kuu ya mjini. Mungu
hakosei anajua
analofanya. Sio kila kupoteza ni
kupoteza mpendwa. Wakati mwingine ni
kupata zaidi. Sio kila kufa ni kupoteza.

Description

Mapenzi ya Mungu ni Fumbo Kubwa - Pata maelezo ya nyimbo, lyrics, mp3 download, video download, song, audio, and free music.
Soma maelezo kamili kwa Kiswahili na Kiingereza kuhusu wimbo wa Emmanuel Mgogo. Pata nyimbo za bure, download mp3, na video za nyimbo maarufu kama official, remix, na more. Fahamu kuhusu wimbo huu wa kipekee na ufurahie nyimbo nzuri za injili na za kiroho kwa urahisi. Enjoy high-quality audio, lyrics, and free music downloads from your favorite artist.

Latest Songs

Random Picks