Music Downloads & Lyrics
Haleluya. Niko hapa leo kuongea kitu.
Ninataka tu kuongea kuhusu mambo ya
tunzo.
Tunzo. Mimi ni mtumishi wa Mungu. Na
katika muda wote ambao nimeanza
kumtumikia Mungu hii miaka
yote sijawahi fikiria niimbe nipewe tuzo
au niombe kura. Naomba nipigieni nipate
tuzo. Hapana. nimejaribu iniingie kwenye
akili. Sasa unajua watu hatufanani sasa
mambo ya kutoa tuzo nini zile kuomba
kura kwamba huyo apigiwe kura ahah hiyo
sio eneo yangu kabisa
ninawaomba waandae tuzo. pale mnaandaa
tuzo mimi
nitoeni hiyo siwezi mimi siwezi kabisa
yaani simo kabisa
nataka nieleweke tu kwamba mimi siwezi
wanaoandaa tuzo Mungu awabariki sana eh
waimbaji ni wengi wazuri kabisa ambao
Mungu amewapa neema nafikiri hao
wanaweza wakaendelea lakini mimi jina
langu kwenye tuzo msiniweke kabisa kwa
sababu tuzo za kuomba kura mimi mimi
ahah kama ni tuzo tu kwamba anapewa tuzo
ya heshima anapewa tuzo ya kazi
aliyoifanya sawa niwekeni lakini hizi za
kusema nitaomba tuzo nitaomba kura
jamani nipigieni kura mimi naomba hizo
kitu msiniwek sijawahi kuwaza kupewa tuz
sijawahi kuimba nipate tuz shauku yangu
ni watu tu wapone watu wainuliwe kupitia
ile neema Mungu amenipa basi Mungu
awabariki sana watu wa tunzo. mnaotoa
tuzo nisikieni tu na mnielewe kwa uzuri.
Hii ni kazi ya Mungu. Kila mtu na vile
ameitwa na vile anasikia ndani yake kwa
sababu hazina ya mtu ilipo ndipo moyo
wake uko. Kwa hiyo mimi moyo wangu hauko
kabisa kwenye kuomba kura za za tunzo.
Chcesz znaleźć tekst piosenki Martha Mwaipaja Siimbii Tuzo? Oferujemy darmowe mp3 download, video download i wysokiej jakości audio tej piosenki.
Discover the official lyrics, free music download, and video for Martha Mwaipaja Siimbii Tuzo. Get the mp3 download and enjoy the song's audio quality. Perfect for fans seeking the latest music and remixes. Download now for free!