Music Downloads & Lyrics
Jawabu
Studios Mungu
nilindie huyu
nilindie huyo wangu. Eh baba
nitunzie huyu
nitunzie huyu wangu. Eh Mungu
nilindie huyu.
Nilindie huyu wangu. Eh baba
mhifadhi huyu
mhifadhi huyu wangu.
Mashetani yasije
yakamwia
akanitenda. Mashetani yasije
yakamwingia
kanitenda. Wachawi wasije
wakamroga akanitenda.
Walimwengu wasije wakambeba aniache
upweke mizimu isije
ikamchanganya
akajisahau Mungu
nilindie huyu
nilindie huyu wangu. Eh baba
nitunzie huyu.
Nitunzie huyu wangu. Eh Mungu
nilindie huyu
nilindie huyu wangu. Eh baba
mhifadhi huyu
mhifadhi huyu
wangu. Si unajua Mungu nilifunga sana
nikaomba sana.
Pia unajua
nilivyoumizwa na yule wa
mwanzo. Machozi nililia usiku na mchana
nianzie
wapi? Ona sasa umejibu yale maombi
niliyokuomba.
Tumenipa mwenyewe
anayeridhisha moyo
wangu. Si umenipa mwenyewe
anayeridhisha hisia
zangu. Mungu
nilindie huyu
nilindie huyu wangu. Eh baba
nitunzie huyo.
Nitunzie moyo wako. Eh Mungu
nilindie huyu
Nilindie huyu wangu. Eh baba
mhifadhi huyu
mhifadhi huyo
wangu.
Nitunzie huyu baba nitunzie.
Huyu wangu
mhifadhi huyu baba mhifadhi huyu wangu.
Eh Mungu
umlinde huyu umlinde huyu wangu. Eh baba
nilindie huyu
unilindie huyu wangu.
Ye.
Yeah.
NILINDIE HUYU şarkısının sözleri, mp3 indir, video ve audio dosyası ücretsiz.
En iyi müzik deneyimi için resmi şarkı ve remix seçenekleriyle yüksek kaliteli müzik ve mp3 indirme imkanı.
Discover NILINDIE HUYU lyrics, mp3 download, video download, song, audio, free music, official, remix, high quality. Explore the best options for free music downloads, official videos, and remixes. Enhance your music collection with top hits and enjoy great sound quality. Search now for your favorite song and get instant access to lyrics, mp3s, and video downloads.