🎧 Lyrics MP3 Download

Music Downloads & Lyrics

NITASIKIA TOKA MBINGUNI lyrics Mp3 download video song audio free music

MP3 Download Video Download Music Download

Lyrics

Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina
langu
watajinyenyekesha na
kuombana na kunitafuta uso na kuziacha
njia zao mbaya nitasikia toka mbinguni
basi nitasikia
toka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao
na kuiponya nchi yao. nitasikia toka
mbinguni basi nitasikia toka mbinguni na
kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi
yao sasa macho yangu yatafuka na masikio
yangu yatasikil
maombi ya watu naomba mahali
hapa ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina
langu
watajinyenyekesha na
kuombana na kunitafuta uso na kuziacha
njia za baya nitasikia toka mbinguni
basi nitasikia toka mbinguni na
kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi
yao nitasikia toka mbinguni basi
nitasikia toka mbinguni na kuwasamehe
dhambi yao na kuiponya nchi yao
maana sasa nimelichagua nyumba hii
nimelichagua na
kuitakosa ili kwamba jina langu lipate
kuwako huko milele.
ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina
langu
watajinyenyekesha na
kuombana na kunitafuta uso na kuziacha
njia zao mbaya nitasikia toka mbinguni
Basi nitasikia toka mbinguni na
kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi
yao. nitasikia toka mbinguni. Asi
nitasikia toka mbinguni na kuwasamehe
dhambi yao na kuiponya nchi yao.
na kila
anayeupokea naye
atafutaye
uana naye yeye abishaye abishaye
atafunguliwa ikiwa watu wangu walioitwa
kwa jina langu
watajinyenyekesha na
kuombana na kunitafuta uso na kuziacha
njia zao mbaya. nitasikia toka mbinguni.
Basi nitasikia toka mbinguni na
kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi
yao. nitasikia toka mbinguni basi
nitasikia toka mbinguni na kuwasamehe
dhambi yao na kuiponya nchi yao

Description

Nitasikia Toka Mbinguni kuuluisan artistin Mtunzi Aloyce Goden Kipangula laulun sanat ja MP3 lataus. Hanki video ja äänitiedosto helposti, ilmainen musiikki.
Discover the official lyrics, MP3 download, video, song, audio, and free music of Nitasikia Toka Mbinguni by Mtunzi Aloyce Goden Kipangula. Download high-quality audio, watch the video, and enjoy this popular song. Get the best search results for lyrics, MP3, and free music downloads today.

Latest Songs

Random Picks