🎧 Lyrics MP3 Download

Music Downloads & Lyrics

Rapcha kilio chetu lyrics mp3 download video song audio free music

MP3 Download Video Download Music Download

Lyrics

na as digest. I'm just being curious. I
wanna know a lot about sex. Yaani nini
kiko behind sex? Why maisha mwanadamu
yametawaliwa sana na sex? Huwa naskia
watu wakicomplain wasanii kila siku
wanatuimbia ngono. Ila mbona hata sisi
kwenye vichwa vyetu haipiti lisaa bila
kili kuiwaza ngono. Amkia social media
tu kwenye mims kama 10 kuna tano
zinahusisha ngono. Au kwa nini
unapogombana na mtu tu kali atalokupa
mara nyingi litahusisha ngono. Okay.
Watu wanafanya ngono ili wapate kazi na
wengine wanaendekeza ngono wanapoteza
kazi. Wengine hawana kazi ngono ndio
wanaifanya kazi. kwa wengine ni starehe
baada ya kumaliza kazi ni ngumu kusubiri
hadi ukubwani ikiwa wakubwa naipromote
sana daily na wanamsingizia shetani
ukipitiwa mara mbili na shetani jua
shetani hawezi kwenda bila wewe kwa hiyo
wewe ndio shetani people kill kwa sababu
ya mani na mara nyingi pichu hazivuki
bila mani mtan ugumu wa maisha tuko
matatani ila inafika mali mtu anachagua
sex over money starehe yake sio bubble
gumam sijawai kutosheka ngono tangu siku
nimeiona Onja first time inakuchosha
hilo unajikaza alfu hata uifanye vipi
nao utataka tena next time. Nilitamani
kuonja ngono maana nikiwa 15 tayari
nilikuwa na taarifa zake nyingi in lost
my virginity kwa dada alienizidi miaka
zaidi ya 30. Naamini Mungu ashasamehe.
Nimefeli kwanza mahusiano mengi kwa
sababu niliongea sana kuhusu sexken
stage. Demu anaweza play hard to get na
unakuja kugundua kuwa yeye ni sex adoka
under age. Mahusiano mengi sana yapo tu
kufurhana. Ukitoa seks hamna kitu
mnaweza husiana. Inabidi kwanza shida
zije mwanze kujuana. Shida zinakuja
ikiwa tayari mmeshakolezana. Toxic
relationship ingenitoa uhai kwa sababu
tu ya namna kwenye ngono tuliv sana. is
ukikumbuka kuna watu wana password za
mwili wa mpenzi wako zote kabla
hamjakutana sex iko very very spiritual
na kuna wenzako wengi wanafanya sex kama
ritual wengi wakifika njia panda
wanaenda both ways nowadays keep story
for a few
day just praying for a new Eh
Excellent

Description

Découvrez les paroles de "Kilio Chetu" de RAPCHA. Téléchargez gratuitement la version mp3, écoutez la chanson en vidéo, et profitez de la musique audio. Obtenez le téléchargement mp3, lyrics, et vidéo de cette chanson populaire. Paroles, musique gratuite, téléchargement mp3, vidéo musicale, musique en ligne.


Explore RAPCHA's "Kilio Chetu" lyrics, free mp3 download, video, song, audio, and music. Get the official music video, high-quality audio, and enjoy free music downloads. Perfect for fans seeking lyrics, mp3 download, and video of this hit song. High-volume keywords: official, remix, trending, new release, hit song, music video, top charts, download, lyrics, audio.

Latest Songs

Random Picks