Music Downloads & Lyrics
Usipoamua huwezi ukafanya
kitu. Hata ukiwa wewe katika maisha yako
ya nyumbani ya kawaida umepata vihera
vyako unasema hivi havitoshi. Ngoja
nikusanye mpaka ziwe nyingi. Hutajenga
hata
kibanda. Sometimes sijui ni nini
kinachoendelea inside my head. Naamka
ingawa nimechoka najua solution siwezi
kuipata kwa bed. Nakuwa na sira kinoma
sometime inahitaji kima kuidhibit.
Nikishampiga kiss Mary Jane day ndio
inaanza kwa lite. Nahitaji kuspendi muda
wa kutosha na family. Shida inakuja kwa
huo ndio muda natafuta ugali wa family.
Natia mashaka ninaamini sometime. Najua
maumivu ya usaliti na ninaamini watu
nisiowajua sometime ingawa naweka limit.
Moyo ni tough kama Mike Tyson ila
sometime naweza anguka. nakuwa mpole
kama Michael Jackson ila sometime nakuwa
tup kuna mipaka haiwezi fukwa maana
respect haiwezi shuka vita maneno
haiwezi zuka maana of course hiyo staji
tumeshavuka sometime natamani kufake day
feeling nikaanze maisha somewhere ila
nitacha maumivu nyumbani yatakayonitesa
ninakoa inabidi nifanye maamuzi magumu
sometime kuupa moyo wepesi na sometime
ukimya unakuwanga very loud na ni bonge
la defense
Sitaki kuendeshwa na presha chochote cha
dunia
hii. Naomba sana Mungu aniongoze.
Fuatali na mi. Sitaki kuendeshwa na
presha chochote cha dunia hii. Mbali na
mii ipite mbali. Natamani nilie sometime
ila kama kidume nitajiona nimeanza kwa
soft. Na kufunguka yanayonisibu naofia
mbeleni itakuja ni cost. Naamini Mungu
ananilinda na mengi ndio maana sometimes
hithitaji kuforce ili anipe akili ya
kutunza faida ninaonja kwanza loss
nawaumiza ninaowapenda sometimes.
Najikuta sina jinsi na nazingua makusudi
sometimes. Lawama nazitupa kwa ibilisi
naacha nawapenda waende sometimes.
Inakuwanga crazy sometimes. Nawapiga
chini hadi ndugu nimeanza kwa sugwa
maumivu. Nashindwa kwa bubu sometimes.
Ah nakuwa na idea za kufanya mambo
sometimes lakini adui namba moja
anayetukwamisha ni woga tu most of the
time kilio kinaweza kuibuka tu ndani ya
dakika unayocheka sometime na msaada
mkubwa unaopokea ndio anguko lako
sometime.
Sitaki kuendeshwa na presha chochote cha
dunia
hii. Naomba sana Mungu aniongoze fuate.
Na sitaki kuendeshwa na presha chochote
cha dunia hii. mbali na mii ipite mbali
nai mbali nai ipite mbali
nai mbali na mii ipite mbali nami
Lyrics tillhör ofta de mest sökta sökorden för musikfans som söker låten rapcha lydia marley sometimes.
Upptäck möjligheten att ladda ner mp3, lyssna på låten gratis och se videon online. Få tillgång till officiella ljudfiler och remixversioner för bästa musikupplevelse.
Discover the popular song "SOMETIMES" by RAPCHA feat. LYDIA MARLEY with lyrics, mp3 download, video download, and free music. Perfect for fans wanting official tracks or remixes. Download high-quality audio, enjoy the song on your device, and explore music videos. This SEO-optimized description helps you find the song easily on Google and other search engines, ensuring you get the best music experience with the most searched keywords. Enjoy the ultimate free music and audio experience today!