Music Downloads & Lyrics
namtafuta bwana yule yule wa ushindi
mi ndio pekee najua
wacha likonitoa
nina historia
uzoefu wa ushindi
kwa macho nimeona
mungu alivyonibeba
from zero tu hero from
nami leo ni mtu katikati
watu
hakuna kama mungu
hii dunia
alitamka ikawa
ikatokea
umbali tumefika
ni huyu yesu
asingekuwa mungu
singefika hapa
nami kama akida bwana ukisema neno tu
hapa nilipo shida zangu zitakoma
yaani kama akida bwana utamke neno tu
hebu sema
neno langu zitakoma
nami kama akida bwana ukisema neno tu
hapa nilipo shida zangu zitakoma
eh yaani kama kila bwana hutamke neno tu
hebu sema neno
sema za kuzitakoma
zitakoma shida zangu zitakoma sema neno
hapa nilipo shida zangu zitakoma
zitakoma shida zangu zitakoma wanasema
neno
hapa nili ee hapa ni nini
bwana hapa ni mimi
yesu hapa nilipo shida zangu zitakuwa
akida aliishi na mtu fanya mpenda kaugua
kiasi cha takufa akatuma wazee wamwite
yesu aje nyumbani mwake eh alipotuma
wazee wamwite yesu nyumbani mwake aje
niliamponye huyu mtumwa wake kabla afike
tena katuma wajumbe yesu wala
usijisumbue
kufika nyumbani kwa akida sema neno tu
hapo ulipo namtuma atapona yesu
akaugeukia mkutano
kawaambia sijaona israeli hii yote
sijaona imani kubwa kama hii
walipofika nyumbani kule
nyumbani kwa yule akida walimkuta mtumwa
yule tayari keshapona
nani kama akida bwana ukisema neno tu
hapa nilipo shida zangu zitakoma
yaani kama akida bwana utamke neno tu
hebu sema
zitakoma shida zangu zitakoma sema neno
hapa nilipo shida zangu zitakoma
Zabron Singers - Akida lyrics, mp3 download, video download, song, audio, free music. Upplev den bästa officiella låten med högkvalitativ ljud och videofilmer. Ladda ner gratis musik och lyssna på den senaste hitlåten.
Zabron Singers - Akida lyrics, mp3 download, video download, song, audio, free music. Experience the best official track with high-quality sound and videos. Download free music and listen to the latest hit song.