Music Downloads & Lyrics
Leo nitakupa siri
Maisha
yangu. Ukiniona hivi ni Mungu
amenitendea.
Nimefanikiwa
je? Imekuwa
kuwaje? Mimi sijui kitu ni Mungu
amenitendea.
Yaani mimi nitamani sipate
wakatalokugawia. Namjua. Je sio yule
Mungu aliompa Yakobo
baraka?
Nilipoijua siri kaenda nikaketi naye
chini kasema hebu nieleze yote maswaibu
yanayokusumbua kaziacha shida zangu
kwake nikaomba huku
kimwamini kuna wakati wa Mungu sahihi
ukifika atanionda
nakushukuru
menikumbuka menikumbuka
tena Jehova nisi
kaniona kaniona tena
nimefurahi
menikumbuka menikumbuka tena
mwambani Yesu
kaniona kaniona tena nilisema nimpe muda
haraka yaani Nini yupo Mungu wangu
Jehova nisi
kaniona kaniona tena hawahi wala
hatelewi niogopeni Mungu wangu yupo
mwangani Yesu
kaniona kaniona tena ilisema nimpe muda
haraka ya nini yupo mungu wangu Jehova
nisi kaniona
kaniona tena hawahi wala
hachelewi
niogopeni mungu wangu yupo mwambani yesu
kaniona kaniona
tena kuna wakati rafiki
yangu alikata
tamaa alipoona majibu yako Mungu wangu
umechelewa hakujua utampa
nini kwa wakati ulio
sahihi tena zaidi ya maombi yako maana
haujatusahau
hukunyaibisha Mungu
ulimtetea
huyu muda Na ulipofika wa kumjibu
ulimtendea.
Usipotujibu leo hata ukijibu
kesho we wajue nini kusudi lako uamue
hivi.
Nashukuru
umenitendea ukajibu na maombi yangu.
Jehova nisi
kaniona kaniona tena.
niliogopa
uliponyamaza nikahisi umenisahau mimi
Yesu
kaniona kaniona tena nilisema nimpe muda
haraka ya nini yupo mungu wangu jehova
nisi
kaniona kaniona tena hawahi wala
hatelewi niogopeni ni yupo
Mungu wangu mwambani Yesu
kaniona kaniona tena ilisema nimpe muda
haraka ya nini yupo mungu wangu Jehova
nisi
kaniona kaniona tena hawahi wala
hachelewi
niogopeni mungu wangu yupo mwambani yesu
kaniona
kaniona tena
nimefurahi
menikumbuka menikumbuka tena
Jehova nisi
kaniona kaniona tena
nakushukuru
menikumbuka menikumbuka tena
mwambani Yesu
kaniona kaniona tena N
Zbierzemy słowa tej piosenki Zabron Singers Kaniona, zapewniając pełne teksty lyrics i mp3 download. Oferujemy również video download i dostęp do darmowej muzyki. Szukasz oficjalnych wersji, remixów lub coverów? U nas znajdziesz najlepsze jakościowo pliki audio i darmowe utwory.
Discover the full lyrics, mp3 download, and video download of Zabron Singers Kaniona. Get high-quality song audio, free music, and official releases. Perfect for music lovers seeking the best song experience online. Enjoy an easy mp3 download and access to free music with top search keywords like official, remix, and cover.