Music Downloads & Lyrics
Nimekaa
nimetulia kaikumbuka misukosuko ya nyuma
niliyopitia mimi maana sikuwa
hivi mlo wa siku tu
nilisota haijalishi nilibadili mipango
nihame kijiji
nijaribu na
mjini kula kulala tu
nilikosa kusoma kwa shida huyu huyu mimi
moyo
ulichoka huishi
nikachoka tunakusaidia leo mara ya
mwisho hapa usirudi tena moyo
uliuma
nilipoambiwa hivi nilitamani niyawez
maisha lakini sikuwa na jinsi bado
niliamini ipo siku utatenda
Mungu ninawaza
nahimini kichwani nakuona bwana
ulivyonileta hapa mbali sana umenitoa
mbali sana nitaimba na
kumshukuru isingekuwa wewe bwana mimi
nisingeweza kuyatenda haya
umenitoa mbali sana ninawaza na
nathimini kichwani nakuona bwana
ulivyonileta hapa mbali sana umenitoa
mbali sana nitaimba
kushukuru isingekuwa wewe bwana m
nisingeweza kuyatenda haya umenitoa
mbali
sana nashukuru umeniona kati ya
waliokuwa chini sana ukaninua Bwana
wanipende tena
ukanibariki mimi
hukuangalia hizi dhambi zangu zote mimi
nitausimulia
Wema wako Bwana siku zote
na leo nashuhudia Bwana matendo yako
makuu sana tena hayahesabiki Bwana kamwe
hayatimiki
tena ahadi zako ni za kweli wanilinda na
kunitunza onana keti
Yesu meza na wakuu Yesu asante baba Yesu
nakusifu leo nipe zaburi
yako Yesu niimbe niitunze wewe ni
muweza hakuna kama wewe bwana
ninawaza
naathimini kichwani nakuona bwana
ulivyonileta hapa mbali sana umenitoa
mbali sana nitaimba na
kushukuru isingekuwa wewe bwana m
nisingeweza kuyatenda haya umeni
mbali sana ninawaza na
nadhimini kichwani nakuona bwana
ulivyonileta hapa mbali sana umenitoa
mbali sana nitaimba na
kushukuru isingekuwa wewe bwana m
nisingeweza kuyatenda haya umenitoa
mbali
sana mbali sana umenitoa mbali
sana mbali sana umenitoa mbali
sana mbali sana umenitoa mbali
sana mbali sana umenitoa mbali
N
Zabron Singers Mbali Sana lyrics mp3 download, video download, song audio, free music, official remix, new.
Czuj się jak na scenie z pełnymi tekstami, muzyką mp3 i video do pobrania.
\
Enjoy the official lyrics, mp3 download, video download, and free music for Zabron Singers Mbali Sana. Find the best song audio, high-quality video, and remixes. Download now for free and listen to the latest hits!