Music Downloads & Lyrics
Unakumbuka jinsi ulikuwa mtu mzuri
unaendeleaje? Eh
tukakuita church tena mtu wa Mungu
unaendelea je eh
unakumbuka jinsi ulikuwa mtu wa wema
unaendeleaje eh
tukakuita church girl tena mtu wa Mungu
unaendeleaje eh
mtu wa watu mwenye kujali mwenye upendo
mwingi
Ulifurahisha wanadamu na Mungu wa
mbinguni nawaza
naum safari ya wote naendeleaje?
Furaha yangu mimi nione tupo wote safari
ni pamoja
Unaendeleaje na maombi yako kwa Mungu?
Unaendelea je? Eh
unaendeleaje na ibada yako kwa Mungu?
Unaendeleaje? Eh
unaendeleaje na sadaka zako kwa Mungu?
Unaendeleaje? Eh E
unaendeleaje na imani yako kwa Mungu?
Unaendeleaje? Eh
unaendeleaje?
Unaendelea? Eh
unaendelea je? Unaendelea je? Eh
e unakumbuka enzi ulikuwa shemasi wetu
unaendelea je eh
mzee wa kanisa kabisa mchungaji pawabu
wetu
unaendelea je eh
je wakumbuka jinsi ulipenda neno la
Mungu
unaendeleaje eh
kwenye makambi kanisani pote tulikuona
unaendeleaje eh
waendeleaje na ndoa ya ujana wa siku
zako
ulitutia na moyo tutumike kwa
ujasiri nawaza
naum safarini ya wote
naendeleaje furaha yangu mimi nione tupo
wote safari ni pamoja
unaendeleaje
unaendelea je
unaendeleaje na maombi yako kwa Mungu
unaendeleaje
Unaendeleaje na ibada yako kwa Mungu?
Unaendeleaje? Eh
unaendeleaje na sadaka zako kwa Mungu?
Unaendeleaje? Eh
unaendeleaje na imani yako kwa Mungu?
Unaendeleaje? Eh
unaendelea Endeleaje?
Unaendeleaje? Eh
unaendelea je unaendelea je? Eh
unaendeleaje?
Unaendeleaje mchungaji
wangu? Unaendelea je? Unaendelea je?
rafiki
yangu
unaendeleaje
unaendeleaje mshiriki
mwenzangu
unaendeleaje
unaendeleaje kiongozi
mwenzangu
unaendelea je unaendelea
e
Zabron Singers Unaendeleaje lyrics mp3 download song audio free music. Get the official video download and enjoy high-quality audio of this popular song. Find the best free music and mp3 download links for Zabron Singers' hit now.
Discover the latest Zabron Singers Unaendeleaje official video, lyrics, and mp3 download. Stream or download the song, listen to the audio, and access free music. Perfect for fans seeking high-quality song videos and audio files online.