🎧 Lyrics MP3 Download

Music Downloads & Lyrics

Chadema wamefungwa goli moja lyrics mp3 download video download song audio free music official remix

MP3 Download Video Download Music Download

Lyrics

nalazimika kurekodi video hii nikiwa
safarini na kuna jambo moja tu nataka
kusemaje kwa kifupi sana nimeangalia
mambo yanavyoendelea Tanzania kwa
kipindi kifupi hiki
Nimegundua vitu viwili ambavyo CHADMA
inafanya. Kimoja imekifanya kwa usahihi
na kingine
imekikosea. Ichopatia kwa uhakika
kabisa ni pale ambapo
Tundulis amewatega watawala. Ameitega
dola
akaiingiza kwenye mtego wake ikanaat.
Vizuri sana. Hii kesi waliomwekea
uhaini alijua itakuja.
na ukichunguza kwa undani
alitamani
aipate. Hawakujua kwamba kwa kumpa kesi
ya namna hii wao wataumia kuliko yeye
anavyoumia kwa sababu michezo ya namna
hii tundulis anaipenda sana na anaiweza.
katika hilo Chadema wameshinda bado wapo
mbele na wataendelea kuwa mbele mpaka
kesi hii itakapokuwa imeisha maana
matokeo yake yanaweza kuwabeba kama
chama na kumbeba yeye kama
mshtakiwa vyovyote itakavyokuwa kesi hii
inawabeba Chadema lakini kosa ambalo
nimeliona hapa katikati ambalo Chadema
ime fanya mfululizo ni pale ambapo
imekuwa
inafuatilia wanachama wake wanaoondoka
na kujiunga kwingine hasa hawa
waliojiunga
chama hata kabla hawajasema wanaenda
wapi chadema ndio iliyosema ikatangazia
watanzania watu wake wanahamia wapi hata
baada ya kuwa wamehama wamefika kwenye
chama hicho CHADEMA imeendelea kuwapigia
debe ikifikiri ina inafanya propaganda
hasi za kuwaiza na kuumiza chama
ikifikiri inawachafua mbele ya umma
inachofanya inawajenga
inawatangaza na matokeo yake hayatakuwa
mazuri kwa Chadema.
Sasa wamefika
mahali baadhi ya viongozi wana haha mara
wanapiga simu huku na kule mara wanaita
watu wajiondoe mara wajitangaze wamerudi
mara walidanganywa yote haya kwa mtaalam
yeyote anayejua maswala ya mawasiliano
ya umma atatambua na atasema kwamba hili
ni kosa la kimkakati ambalo Chadema
wanatenda na litakuja
kuwaumiza. Huu ni ushauri wa bure.
Ushauri
wangu Chadema kama wanaweza wajenge
chama
chao waache na chama ijenge chama
chake huko mbele ya
safari
tutahesabu faida na hasara za yote
haya ushauri wa bure
tu tuendelee.
he

Description

Chadema Wamefungwa Goli Moja lyrics with mp3 download and video download. Discover this song's audio, free music, and official remix versions. Get the best quality mp3 download and enjoy the latest song.

Explore the song's lyrics, audio, and video download options. Perfect for fans seeking free music and official releases. Find top keywords for your music collection and enjoy high-quality sound.

Chadema Wamefungwa Goli Moja lyrics with mp3 download and video download. Discover this song's audio, free music, and official remix versions. Get the best quality mp3 download and enjoy the latest song.

Latest Songs

Random Picks