Music Downloads & Lyrics
Wana wa Mungu ninawasalimu kwa jina la
Yesu Kristo. Majeshi
majeshi mimi kwa majina ni Dr. Eric Sho
katibu mkuu wa kanisa la Glory of Christ
Tanzania au nyumba ya ufufuo na uzima.
Kama tulivyokwisha kuwafahamisha kupitia
mifumo yetu rasmi ya taarifa mnamo
tarehe 2 mwezi wa s mwaka huu 2025
serikali ilisitisha
huduma ya kanisa
letu. Idadi kubwa sana ya washirika wetu
kote nchini wamekuwa wanaulizia kuhusu
ibada ya kesho ya Jumapili. Kwa sababu
hiyo kwa niaba ya baraza la maaskofu wa
ufufuo na uzima UEK naomba kutoa
maelekezo
yafuatayo. Siku ya Jumapili ya kesho
tarehe 8 m6 mwaka 2025 hapatakuwa na
ibada kwenye makanisa yetu yote ya Glory
of Christ
Tanzania yaliyoko Tanzania. Kwa hiyo
kila mshirika wa kanisa letu afanyie
ibada nyumbani
kwake. Mbili yanafahamu kwamba kwa
mujibu wa ratiba ya kanisa letu kuna
mambo mengi yalitakiwa kufanyika siku ya
kesho kama kufunga ndoa, ubatizo, ibada
za meza ya Bwana, ibada za kubariki
watoto na kadhalika. Matukio yote haya
yanaahirishwa kwa siku ya kesho mpaka
tutakapowafahamisha
tena. Namba tatu, ninawaagiza maaskofu
wa majimbo yetu makuu yote nane ya
Tanzania, maaskofu wa majimbo yote 33,
waangalizi wa diviseni, makuhani wa
sehemu, waamuzi wa maeneo na walawi
vituo wa Tanzania.
kutekeleza maelekezo hayo hapo juu kwa
bidii. Ninawaagiza ninamwagiza pia mkuu
wa utawala na fedha kuwafahamisha
wakurugenzi wa utawala na fedha wa
majimbo yetu yote na wakuu wa idara
kusimamia utekelezaji wa agizo hili kwa
bidii kwenye majimbo yao
yote. Maelekezo haya yanahusu makanisa
yetu yaliyo Tanzania.
makanisa yetu yaliyo nje ya nchi
yaendelee na taratibu zake kama
zilivyopangwa.
Asanteni Mungu awabariki na ningependa
kuwatia moyo kupitia andiko kutoka
katika bibilia takatifu Wakorintho wa K
15:58 maandiko matakatifu yanasema ndugu
zangu wapendwa mimarike msitikisike
mkazidi sana kutenda kazi ya Bwana siku
zote kwa kuwa mwajua ya kwamba taabu
yenu sio bure katika Bwana asanteni
naomba Maagizo hayo yazingatiwe kwa
bidii. Amen. Mtazame Kristo
TV. Usisahau kusubscribe, kulike na
kuomment. Yeah.
Tazama na pakua wimbo wa Gwajima kanisa kwa maelekezo mapya, pamoja na lyrics na mp3 download. Pata video download na audio ya wimbo huu wa kipekee kwa bure. Hii ni njia bora kusikiliza nyimbo za kiroho na kupata lyrics kwa urahisi.
Unlock the full experience with official mp3 download, lyrics, and video download of Gwajima church song. Enjoy free music, audio, and high-quality song remixes. Download now for your favorite spiritual music and share the joy of worship with friends and family.