Music Downloads & Lyrics
haya bwana hapa ndio naona bumbuli
vizuri sana sana mambo yetu ni hii na
pale ndio stendi kwetu lakini sababu
kubwa ya kusimama hapa ni kwa sababu
hapa kuna tukio kubwa sana katika
historia yangu ebu mimi nilikuwa
bodaboda maarufu sana nyumbani kwetu
yaani si ndio bodaboda wale wa mwanzo
mwanzo wale ila mimi nilikuwa napaki
pale stand pale changu kwa hiyo njia
panda ile stendi hivi nilikuwa napaki
pale ndio kituo changu lakini nilipata
ajali moja kubwa sana mimi nilipatia
wapi hapa hapa nilidondoka na pikipiki
kuanzia hapa mpaka chini kule ilikuwa ni
tukio moja kubwa sana ambalo pia
kimsingi kusema ukweli aligharimu sana
maisha yangu niliumwa sana nilikuwa
mbovu lakini pia sikuwache kuendesha
bodaboda kwa sababu ndio nilikuwa sehemu
ambayo yananitia kipato nikitoka shule
inampelekea mama na mimi napata hela ya
kula shule na vitu kama hivyo kwa hiyo
pana historia kubwa sana kwa hiyo ndio
bumbuli yetu lakini ninaamini kwamba
kila kitu kinawezekana leo niko zangu
bumbuli
Tafuta lyrics, mp3 download, video download, song, audio, free music kwa Kusah Alikua Dereva Boda Boda. Pata wimbo huu wa kusisimua kwa urahisi na ubora wa hali ya juu. Download audio, video, na lyrics kwa bure na enjoy nyimbo za kisasa.
This is the official song "Kusah Alikua Dereva Boda Boda" with lyrics, mp3 download, and video download options. Get high-quality audio and free music now. Discover the latest hits, remixes, and official tracks. Download your favorite song today and enjoy the best music experience.