Music Downloads & Lyrics
comfortable
serious
rais
president go
m ndio mtoto k wa mitegoezi mwenye
maumivu kan nimeng'olewa gego sina chama
cha siasa nawaamsha msiwe wajinga Mimi
ndio rais wa kitaa niliyepita bila
kupingwa. Nadhani mnangoja nife mseme
nimeumaliza mwendo. Na alikuwa jasiri
mwanarakati na mzalendo. M sijawahi
kukaa kimya mambo yanapokwenda kombo.
Kisa nyinyi shakamatwa nishapoteza
michongo. Navutana na Basata mmetulia
mpokando wadau wananitenga naonekana
kinega. Nyimbo hazipigwi media nataka
nimbe kibega. nyinyi na kina nani vipofu
nani viziwi mmekufa mmelala au nyinyi
ndio bongo lala sina kadi ya chadema ccm
nikafanye nini dada yenu wa marekani
kawasubirisha ndege stendi haya mambo ya
utekaji mmechukua hatua gani kama sio
kazi yenu mnadhani ni kazi ya nani ah
naongea na nyinyi nyie ni watu gani
mnanitanguliza mbele nikigeuka siwaon
okay tuache hayo mbona mnasahau haraka
wakiwaomba mitano muulizi jumla mingapi
waulize mmefanya nini meahidi nini na
hamjafanya nini na kwa
nini ongeni na hawa watu wanakusumbueni
kwani mwanangu we anahusika nini
mwanangu hata kuwasemea hawa watu
wanataka wewe uwasemee wao wanashindwa
kusema chochote ukipatwa na matatizo
mimi ndio napata prure wao wametulia na
familia zao wao hawana
midomo usijali kwa sababu hiyo ni kazi
yangu nao ni manzi wangu
Acha
sawa
mwanangu au tuje huko huko nauliza ni wa
kina
nani sijui mpo upande
gani ni waki au
kijani hivi ni wa dunia gani vipofu
viziwi mmekufa mmelala au nyinyi ndio
bongo lala kila siku najiuliza nyie mpo
kundi gani kama ni familia ya watoto
kila mtu anao nyumbani. Okay. Tufanye
sasa ukae na mke wako ndani m na mama
nyumbani tuone atasema nani. Da
mnalalamika uchaguzi ya ukuwa wa haki.
wakilishi watasema nini wakati wa ndio
wafuasi na nyinyi mtafanya nini wakati
kusema hamtaki kuhusu jenzi wa Kenya
hiyo ni Afrika nyingine tubishane Simba
na Yanga na dawa za nguvu za kiume wembe
ni ule ule alifichiki pembe la ng'ombe
watetezi wenu ndio kwanza wanawaita
kenge hoya mwanangu wa kitambo fimbawa
mbali haiui nyoka rudi uwanja wa vita
nje haikombolewi Twitter shemeji naye ni
binadamu vyakula vyaa vina mafuta ila
usijali jembe langu wanaume dawa kutafut
naongea na nyinyi nyie ni watu gani
mnanitanguliza mbele nikigeuka siwaoni.
Nyinyi mnapenda umbea na viongozi wenu
wanajua ndio maana tukioji vitu
anawaletea umbea. Ah na si ndio nyinyi
ambao mlisaliti mang akacha kuposti
siasa ona sasa anaposti udaku na
connection kwenye app na pesa mnalipa
mnavyopenda upumbavu.
Nauliza nyi wakina
nani? Sijui mpo upande
gani wakaki au
kijani? Hivi nyunia gani? Vipofu nani?
Viziwi nani mmekufa? Nani? Mmelala au
nyinyi ndio bongo? Lala
nani? Nani
nani nani nani
Nani
Nyie Ni Nani by Nay Wa Mitego lyrics mp3 download video download song audio free music. Pata nyimbo hii kwa urahisi na ubora wa hali ya juu, ikiwa na maneno kamili na video. Download mp3 na kusikiliza bure, pata lyrics na video kwa urahisi. Hii ni wimbo maarufu wa Nay Wa Mitego unaokuja na remixes na ofisi rasmi. Enjoy the best quality audio, free music downloads, and latest song updates.
Nay Wa Mitego - Nyie Ni Nani lyrics mp3 download video download song audio free music. Get the latest official song, remix, and high-quality mp3 download with lyrics and video. Perfect for music lovers searching for free music and official releases.