Music Downloads & Lyrics
ndoani kwanza kuelewana
sio fujo mateke na ngumi
ndoi. ni kwanza kusikizana
sio uwanja wa
mapambano umtunze
mkeo umpende mmeo huyo ndiye wako
kipenzi cha moyo
wako umtunze
mkeo umpende mmeo jivunie chako furaha
ya moyo
O nawa msigombane tena na ndoa yenu
msilie tena uliyempata leo ndiye kipenzi
chako.
Si unajua
mmekubaliana kweli ni kwamba nyinyi
mnapendana ndio maana tumekuja leo
tumalize jambo lenu. Hivi unajua
ilikuwaje mpaka huyo Eva apatikane? Huyo
Eva alitoka kwenye ubavu. Ubavu wa
mwanaume. Adam kasema sasa huyu mifupa
katika mifupa yangu na nyama katika
nyama yangu ataitwa mwanamke. Kwa hiyo
sasa huyo mwanaume
atamwacha baba yake atamwacha baba yake
na mama yake tena.
Ambatan na mkewe wakaishi kwa furaha.
Watakuwa mwili mmoja wataishi pamoja.
Hivi unajua
ilikuwaje yupi harusi apatikane wana
harusi hakika
amepambana ampate kipenzi chake.
Twaombea mkafurahi vicheko utani na raha
nyingi. Watu wote leo tuko hapa tumalize
jambo lenu.
kwanza kuelewana
sio fujo mateke na ngumi
ndoa kwanza kusikizana
sio
uwanja wa
mapambano umtunze
mkeo umpende mmeo huyo ndiye wako
kipenzi cha moyo
wako umtunze
mkeo umpende mmeo jivunie chako furaha
ya moyo wako watu wamekuja kuwa pamti
ndugu na rafiki te wamefurahi kuwa hapa
kwa ajili
yenu basi sasa msipigane mpendane
mchukuliane mbebane mvumiliane ndoa
kufichia
siri ugomvi na hasira hasira msifa fanye
mueleweshane kwa upole majibu mazuri
kuupalilia
upendo hapa sasa sisi
tumeridhika taratibu zote mmezifuata
kama vile Bwana Mungu aliagiza tufunge
ndoa
takatifu kikubwa sasa
twwaombea Mungu awape maisha marefu
yenye baraka furaha pia upendo katika
nyumba yenu basi sasa msipigane mpendane
ane mchukuliane mbebane mvumiliane ndoa
kufiana
siri ugomvi na hasira hasira mbebane
mueleweshane kwa upole majibu mazuri
upalilia
upendo usimpige mkeo utakuwa wajipiga
mwenyewe maana sasa nyinyi ni mwili
mmojajiumiza
mwenyewe. Asipoumia mwili atakuwa
ameumia moyo na wewe pia utajiumiza
moyo. Furaha
hukosekana ndoi. Kwanza kuelewana
sio fujo mateke na ngumi
ndoi. kwanza kusikizana
sio wa
mapambano umtunze
mkeo umpende mmeo huyu ndiye wako
kipenzi cha moyo
wako umtunze
mkeo umpende mkeo jivunie chako furaha
ya moyo
Zabron Singers Jivunie Chako lyrics mp3 download official video song audio free music. Kuwa na wakati mzuri wa kusikiliza wimbo huu wa kipekee, pata download ya mp3 na video bila malipo. Pata maelezo ya kina kuhusu wimbo, shusha nyimbo na kuangalia video ya muziki huu wa kipekee.
\
Zabron Singers Jivunie Chako lyrics mp3 download official video song audio free music. Enjoy this unique song, download mp3 and video for free. Get detailed info about the song, download tracks, and watch the music video.